Kuhusu TWCP

T-WCP/ULINGO ni chama cha kiraia cha kwanza na cha kipekee kinachopigania haki za wanawake bila kujali itikadi zao za kisiasa. Asasi hii inalenga katika kuwajengea uwezo wanawake katika ngazi zote za jamii ili waweze kushiriki katika kujinasua kutokana na dhana ya ukatili na ukandamizaji inayowanyima fursa ya kutumia uwezo wao kwa maendeleo na uongozi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *